August 25, 2019



 Simba 1-1 UD do Songo
Uwanja wa Taifa
Goal: Luis dakika ya 14
Goal dakika ya 87 Erasto Nyoni 

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kati ya Simba na UD do Songo umekamilika kwa Simba kukubali kichapo cha bao 1-1 na kutolewa kwa bao la ugenini.

Simba ilianza kuwa nyuma kwa bao 1 ambalo limefungwa na wapinzani wao dakika ya 14 kupitia kwa Luis Misquissone.

Bao pekee la Simba limefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 87 kwa mkwaju wa penalti.

Dakika ya 25 Kagere alifunga bao, mwamuzi alisema ni la kuotea, mashabiki waliojitokeza Taifa ni wengi.

Dakika ya 40 Kahata anatolewa anaingia Dilunga.

5 COMMENTS:

  1. Nasikia eti Yanga, licha ya kushinda ugenini, bado ni chekechea,wakati Simba ni Form Six! Inabidi kuwa genious sana ili kuelewa vizuri nini maana yake

    ReplyDelete
  2. Hilo bao alilofunga dakika ya 25 ni lipi

    ReplyDelete
  3. Mikia mnajua kuongea....chekechea wakati wapo Yanga za kimataifa....nyi hangaikeni na halo yenu! Mpo nyuma kwa goli moja halafu midomo imewaja mate mnamwongelea Yanga. Wakimataifa washarudi kwenye game lao.

    ReplyDelete
  4. Manula vipi goli jepesi mnooo

    ReplyDelete
  5. Ausems ndio aliyeiua simba technically and strategically

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic