August 2, 2019



 Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe akikabidhi kombe la ubingwa wa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov. (Picha na SportPesa News)





 Msafara mzima wa Simba na viongozi wa SportPesa wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa zoezi la makabidhiano. (Picha na SportPesa News) 




 Wachezaji wa Simba wakiwasili kwenye ofisi za SportPesa.



Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein akikabidhi jezi mpya ya Simba iliyosainiwa na wachezaji kwa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu Pavel Slavkov. (Picha na SportPesa News).


2 COMMENTS:

  1. maskini Yanga weee! hivi hizi dili za jezi Umbro, uanachama Equity Bank na Sportpesa je jangwani nao hawawezi kuiga! tusubiri kuchangishana

    ReplyDelete
  2. Nashauri kuwe na zawadi ya mshindi wa pili.Kuna watu wanateseka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic