KUELEKEA SportPesa Simba wiki inayotarajiwa kufanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa mambo yamezidi kupamba moto ambapo hamasa imekuwa ni ya juu huku matawi mengi yakipania kufanya makubwa.
Tawi la Simba la Banadari Kavu-Kwala lililopo Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani limezua gumzo kutokana na aina ya ubunifu wake na mchoro wake ulivyo lipo namna hii:-
Tawi la Simba la Banadari Kavu-Kwala lililopo Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani limezua gumzo kutokana na aina ya ubunifu wake na mchoro wake ulivyo lipo namna hii:-
Uyo simba wamemkosea kumchora iyo sura siyo kabisa hakuna cha ubynif hapo
ReplyDeleteNi Simba jike amevaa wigi........hongera kwa mbunifu
ReplyDeleteHuyo mchoraji alilipwa au ni bure maana hiyo picha haina msambaruku
ReplyDeleteSimbwa ana wowowo hatare!
ReplyDelete