Inauma sanaaa, shida Simba wamekalia historia....hili lilitokea kwa Mashujaa mwaka jana na jana likatokea kwa UD Songo.. Nafikiri kuna gap mahali.. Ngoja tusubiri ripoti ya benchi la ufundi.. Lawama zote nawapelekea wachezaji.. kwa kujiamini sana kisha wakasababisha makosa mengi ya kiuchezaji na kuleta shida.. Yote kwa yote, huu ndio mpira.

ReplyDeleteInauma Ila Haina Jinsi Mpaka Mwakani Ni Mambo Ya Kawaida Hata As Vita Nao Walilia Sana Kutolewa Na Simba Mwisho Wakakubali
ReplyDelete