August 25, 2019


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wa leo utakuwa mgumu na kazi yao itakuwa moja kutafuta matokeo.

Akizungumza muda mfupi kabla ya mchezo kuanza uwanja wa Taifa amesema kuwa wanatambua kwamba hatua ya michuano ya kimataifa kila timu ni bora na wanacheza na timu bora.

"Kwenye hatua ya Ligi ya Mabingwa kila timu ni bora tunajua kwamba kazi itakuwa ngumu ila tupo tayari," amesema Aussems.

Kwenye mchezo wa leo miongoni mwa wachezaji watakaoukosa mchezo huo ni pamoja na nahodha John Bocco pamoja na Ibrahim Ajib.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic