VIDEO: YANGA YATOA TAMKO JUU YA DISMAS TEN
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela amesema nafasi ya msemaji Yanga ipo ambayo anashikilia Dismas Ten huku akiwa na majukumu ya Kaimu Katibu wa klabu hivyo kuna nafasi za kazi ambazo zimetolewa Yanga kwaajili ya watu kuomba ili kutengeneza mfumo mzuri wa uongozi.








0 COMMENTS:
Post a Comment