HIVI NDIVYO NAMNA YANGA WATAKAVYOITOA ZESCO UNITED - VIDEO
Klabu ya soka ya Yanga inaingia katika kibarua kingine dhidi ya Zesco United ya Nchini Zambia hii ikiwa nikutafuta tiketi ya kufuzu Ligi ya mabingwa barani Afrika.
Yanga watanza kibarua hiko dhidi ya Zesco katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kabla ya mchezo wa marudiano ambao utakaoenda kupigwa huko Nchini Zambia
0 COMMENTS:
Post a Comment