September 11, 2019


Shabiki wa klabu ya Yanga ambaye mpaka sasa bado hatujamtambua jina lake akiwa safarini kuelekea Ndola, Zambia kwa miguu kuisapoti timu yake.

Shabiki ameanza safari yake mdogomgogo kwa miguu ambapo atahudhuria mechi hiyo itakayofanyika Septemba 26, 2019.

Safari yake unamfanya akose mechi ya mkondo wa kwanza ikatayofanyika wikiendi hii Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Yanga itamenyana na Zesco kwenye hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuindoa Township Rollers kwa jumla ya mabao 2-1.

3 COMMENTS:

  1. Mbona Viongozi wa kuchaguliwa wa Timu ya Wananchi hamuweki Press Conference kwa ajili ya masuala yafuatayo???
    1. Hamasa mechi na Zesco
    2. Kutambulisha Secretariat mpya
    3. Kutangaza maendeleo ya miradi mbalimbali (Ujenzi wa Uwanja, ukarabati wa jengo la klabu)
    4. Kutangaza udhamini uliongia na kiasi gani klabu inapata
    5. Kutangaza mipango ambayo ipo mbioni na ambayo tayari imeshatekelezwa

    MSIWE BARIDIIIIIII!!!!!!!
    Ahsante....

    ReplyDelete
  2. Zesco United wajanja sana wametoa na kuzifuta kwenye Youtube mechi zote walizocheza kwenye raundi ya awali kwenye CAF CL dhidi ya Green Mamba ya Eswatini....

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic