Klabu ya Yanga imeendelea na harambee ya ukusanyaji fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli mbalimbali klabuni hapo.
Harambee hiyo imepewa jina la Kubwa Kuliko,Jana ilifanyika mkoani mwanza na kukusanya pesa zaidi ya milioni 10.
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alichangia Dola 500 zenye thamani ya zaidi shilingi milioni moja za kitanzania.
Klabu ya Yanga ipo kambini mkoani Mwanza ikijiandaa na mechi ya klabu bingwa Afrika dhidi ya Zesco Septemba 14.







Safi sanaĆ a
ReplyDelete