Kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Septemba katika Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.
Katika mwezi wa tisa Aussems aliiongoza Simba kushinda michezo mitatu dhidi ya Mtibwa, Kagera na Biashara.
0 COMMENTS:
Post a Comment