Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragie, amemuongeza katika kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi.
BREAKING: BAADA YA KUITWANGA MABAO MATATU YANGA, NCHIMBI AONGEZWA STARS
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragie, amemuongeza katika kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi.
Ndipo hapo soka letu linavyoendeshwa ki unazi!Eti kwasababu kaifunga Yanga kwa uzembe ule wa kipa na beki yake.
ReplyDeleteMechi ya kirafiki ni sehemu sahihi ya kumjaribu kila mchezaji mwenye potential au mwelekeo wa kufanya vizuri,kocha yupo sahihi kabisa.Na sio mechi ya Yanga pekee iliomfanya Ditram Nchimbi kuitwa stars bali rudi nyuma msimu wa ligi uliopita halafu angalia takwimu za Ditram ni kama alivyotemwa chilunda halafu aitwe tena stars kuna cha ajabu?
ReplyDelete