SHEVA CHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA Mshambuliaji wa klabu ya Simba, Miraji Athumani 'Sheva' amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba kunako Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.
Wote waeili kutoka kwa Mnyama. Sasa twataka kuijuwa timu bora iliyotulia na yenye nidhamu bila ya matatizo, malumbano au malalamiko
ReplyDelete