BREAKING: BASI LA NDANDA LAPATWA NA AJALI, WATANO WAUMIA
Kikosi cha Ndanda kimepata ajali ya gari wakati kikiwa safarini kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mechi ya ligi.
Katika ajali hiyo wachezaji waliopata majeraha ni Aziz Sibo, Paul Mahona, Hemed Koja, Nassoro Saleh, Omar Ramadhan.
Saleh Jembe Blog itazidi kukupasha habari kuhusiana na kinachoendelea juu ya tukio hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment