October 25, 2019


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amekwea pipa kuelekea Mwanza kwa ajili ya shughuli zake binafsi.

Manara ameamua kwenda Mwanza ambapo Yanga Jumapili hii watakuwa wana mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids ya Misri.

Licha ya Manara kuelekea jijini humo, awali alieleza kuwa baada ya Yanga kuamua kuhamishia mechi badala ya uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenda Mwanza, naye alisema atawafuata hukohuko Mwanza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika akiwaomba watu wa Mwanza wampe mapokezi kabambe.

6 COMMENTS:

  1. Ukipanga kusafiri kwa ajili ya kuwashangilia wapinzani ukipata ajali safarini ujue utakuwa umejitakia

    ReplyDelete
  2. Ukipanga kusafiri kwa ajili ya kuwashangilia wapinzani ukipata ajali safarini ujue utakuwa umejitakia

    ReplyDelete
  3. tutawahesabu mashabiki wote na zeru ziro kibao.
    cjui ilikuw ni lini kula bila mboga

    ReplyDelete
  4. Jamaa ana pua Mbinuko utafikiri yule Ally Mapua wa Manzese!

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...sio vyema kuwabagua watu kwa rangi au kwa madhehebu mpira ni fair play ndugu mkamilo asahihishe maandishi yake mpira ubakie mpira na maisha mengine yaendelee

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic