PETR Cech, kipa wa zamani wa Arsenal na Chelsea amesema kuwa kupata timu ya Guildford Phoenix inayoshiriki ligi ya Mchezo wa Magongo haimnyimi Uhuru wa kufanya kazi nyingine. "Kazi yangu ya kuwa mshauri wa ufundi wa Chelsea FC hainizuii kufanya ninachokipenda katika muda wangu wa ziada," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment