Azam FC chini ya kocha Etienne Ndayiragije ilikuwa hivi na hesabu za namna hii:-KMC v Azam FC uwanja wa Uhuru
kwa mfumo wa 4-3-3 ilishinda bao 1 lililopachikwa kimiani na Idd Seleman dk 14 Asisti ilitoka kwa Nicolous Wadada.
Azam FC 2-1 Namungo uwanja wa Chamazi
mfumo wa 4-4-2 alishinda mabao 2-0 safu ya mabeki ilikuwa namna hii Nicolaus Wadada +Daniel Amoah + Yakub Mohamed + Bruce Kangwa
Bao lilipachikwa na Donald Ngoma dk 61 Asisti Wadada, lile la ili lilipachikwa na Frank Domayo dk 90 Wadada.
Azam FC v Ndanda
Mfumo 4-4-2 ilishinda mabao 2-0.
Safu ya ulinzi ilikuwa namna hii :-Nico Wadada, Bruce Kangwa, Yakub Mohamed, Daniel Amoah.
Bao lilifungwa na Donald Ngoma dk 32, Samwel Junior wa Ndanda alijichanganya kutoa pasi, Daniel Amoah dk ya 48 mpira ulitemwa na mlinda mlango.
Kwa sasa Ndayiragije si Kocha wa Azam FC baada ya Arstica Cioba kutangazwa kuwa kocha kwa kandarasi ya mwaka mmoja huku ikielezwa kuwa Ndayiragije ataibukia timu ya Taifa ya Tanzania.

0 COMMENTS:
Post a Comment