Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba uliofanyika Septemba 11, 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78.
Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu.
Graiyaki (Mara), Twibhoki (Mara), KemeBos (Kagera), Little Treasures (Shinyanga), Musabe(Mwanza), Tulele(Mwanza), Kwema Morden (Shinyanga), PeaceLand(Mwanza), Mugini (Mwanza) na Rocken Hill (Shinyanga)
KUNA UHALISIA???
ReplyDelete