October 14, 2019


Rapa kutoka pande za Marekani, Kanye West amethibitisha kubadili na kuingia kwenye dini ya  Ukristo, masahabiki wa kanye west walikuwa wanapata wakati mgumu kufahamu imani ya Kanye West.

Siku Ya Jumapili, mjini Washington D.C. rapa Kanye West aliangusha bonge la ibada na kuhudhuriwa na watu wengi, Kanye West aliwaambia waumini wake kwamba ameokoka na ameingia rasmi kwenye Ukristo.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic