October 14, 2019


Ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 5H-TCJ Dreamliner ipo katika hatua za mwisho nchini Marekani kuja nchini, ambako inaundwa.

Jana Jumapili, Oktoba 13, 2019, ndege hiyo ilifanyiwa majaribio kwenye Uwanja wa Ndege wa Paine Field (PAE) Seattle nchini Marekani.

Ndege hiyo tayari imeshapewa jina la “Rubondo Island”. 📷 Jennifer Schuld.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic