October 28, 2019


MESUT Ozil, kiungo wa Arsenal anatajwa kuwa anaweza kwenda kucheza Ligi Kuu ya Marekani mwakani mwezi Januari.

Ozil hana nafasi kwenye kikosi cha Arsenal kwa msimu huu na Kocha wake Unai Emery amekuwa akionyesha dhahiri kuwa hana hesabu naye.

Hivi karibuni, Ozil ambaye ni raia wa Ujerumani alisema kuwa hatakiwi kulaumiwa kutokana na timu hiyo kuboronga kwenye mechi zake.

Kiungo huyo ndiye mchezaji ghali kwa sasa ndani ya kikosi cha Arsenal akikunja pauni 350,000 kwa wiki na mkataba wake unameguka mwaka 2021.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic