October 14, 2019


SERGIO Ramos beki wa timu ya Taifa ya Hispania amekuwa mchezaji wa kwanza kucheza mechi nyingi kwenye timu yake ya Taifa.

Ramos amefikisha michezo 168 akiwa amempiga bao kipa wa zamani wa timu hiyo, Iker Casillas aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo.


Beki huyo aliweka rekodi hiyo baada ya kuanza kwenye mchezo wa kufuzu Kwa fainali za Euro dhidi ya Norway ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.

Casillas alicheza jumla ya michezo 167 tayari rekodi hiyo imevunjwa na beki huyo anayekipiga Real Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic