Timu ya Taifa (Taifa Stars) itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) October 14, 2019 pambano ambalo litakuwa kwenye tarehe za kalenda ya FIFA litapigwa nchini Rwanda.
STARS KUKIPIGA DHIDI YA RWANDA
Timu ya Taifa (Taifa Stars) itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) October 14, 2019 pambano ambalo litakuwa kwenye tarehe za kalenda ya FIFA litapigwa nchini Rwanda.
0 COMMENTS:
Post a Comment