STARTIMES WANAKULETEA LIVE ARSENAL NA UNITED WAKIKIPIGA EUROPA LEAGUE, MECHI HIZI HAPA
Europa League ndani ya Star Times, moja ya mechi kali ni Man United itakuwa ugenini dhidi ya FK Partizan, wakato Arsenal atakuwa kwake kukipiga na Victoria SC.
Uhondo wote huu unaupata kupitia king'amuzi cha Star Times, kama haujaweka kifurushi chako fanya mpango huu ili kushuhudia mubashara mechi hizi kali.









0 COMMENTS:
Post a Comment