October 20, 2019


WABABE wa Manchester City wanataka kuboresha zaidi kikosi chao kwa kuongeza nguvu ya kutosha kwa kuinasa saini ya mwamba mmoja  kutoka Afrika.

Wolves ambao waliibamiza City mabao 2-0 kwenye mchezo wa Premier League  wanaisaka saini ya Franck Kessie ambaye ni kiungo.

Kessie raia wa Ivory Coast anakipinga ndani ya klabu ya AC Milan kwa sasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic