YANGA YAIBUKA NA KAULI JUU YA KUMKOSA ZAHERA KESHO, MOLINGA KUANZA - VIDEO
Timu Yanga imesema kuwa kesho itamkosa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera kwa kuanza kutumikia adhabu ya kukosa mechi tatu hivyo kesho hatokaa katika benchi kuiongoza timu hiyo itakapoivaa Polisi Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment