November 29, 2019


NYOTA wa Real Madrid, Eden Hazard ameshusha presha ya mashabiki baada ya jopo la madaktari kueleza kuwa hana majeraha ya kutisha.

Hazard aliumia kifundo cha mguu hivi karibuni katika mchezo uliopita dhidi ya PSG.

Taarifa za madaktari zinaeleza kuwa anaweza kuwa nje kwa siku 10 tu kisha akarejea uwanjani.

Kwa siku hizo 10 upo uwezekano akaiwahi mechi kali dhidi ya Barcelona 'El Clasico' inayotarajiwa kupigwa Desemba 18.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic