Kikosi cha Yanga SC leo kimekwea pipa kuifuata Alliance FC mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Ijumaa ya Novemba 29 uwanja wa CCM Kirumba.
Jeshi kamili la Yanga linalojiaandaa kuwakabili wapinzani wake lipo namna hii:-
Farouk Shikhalo
Ramadhani Kabwili
Juma Abdul
Jafary Mohammed
Ally Mtoni
Kelvin Yondani
Mustafa Selemani
Lamine Moro
Papy Tshishimbi
Mrisho Ngassa
David Molinga
Raphael Daud
Sadney Urikhob
Deus Kaseke
Juma Balinya
Said Juma
Patrick Sibomana
Adam Kiondo(u20)
Benchi la ufundi lipo chini ya Kaimu Kocha Charles Boniface Mkwasa.
Wapo wapi akina Makame na Feisal???
ReplyDelete