JESHI LA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HILI HAPA, WACHEZAJI 27 KIKOSI cha Timu ya Taifa cha wachezaji 27 kilichoitwa na Kocha Mkuu wa Stars, Etienne Ndayiragije.
Mkude hajacheza mechi yoyote tangia arudi toka timu ya taifa sijui kocha katumia vigezo gani
ReplyDeleteMkude alipigana vikali sudani kwa kweli alikuwa ndio kiungo roho wa stars waliofanikisha kufuzu Chan .
ReplyDeleteGubu tuu Mpepo huko Zambia unajua kacheza mechi ngapi?
DeleteNa mwacheni kocha afanye kazi yake kwani mlipiga kelele kuteuliwa kwa Ditram Nchimbi lakini mwisho wa siku kaja kuwavua nguo hadharani.
ReplyDelete