November 10, 2019


Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameingia katika ungalizi kutokana na mwenendo wa kikosi chake.

Taarifa zinaeleza kuwa mabosi wa klabu hiyo wamekuwa hawafurahii mwenendo wa timu hiyo hivi karibuni tangu kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo.

Taarifa zilizo chini ya kapeti zinasema, Kocha huyo ambaye ni raia wa Ubelgiji ameambiwa apunguze urafiki na wachezaji ili kufanikisha malengo yake.

Inaelezwa kuwa Aussems amekuwa na urafiki zaidi na wachezaji wa Simba kiasi cha kwamba kitendi hicho kinapelekea ashindwe kutimiza majukumu yake kisawasawa.

4 COMMENTS:

  1. Urafiki wa kupindukia mpaka hugeuka ukawa udhaifu

    ReplyDelete
  2. mnatolewa na UD SONGO timu ambayo imekuja tolewa juzi kwa kufungwa magoli sita!!!!!!
    halafu mnatamba mpo next level!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ufaransa walivyofungwa na Senegal wakiwa mabingwa watetezi 2002 walikuwa previous level au?kama hujui mpira kaa kimya kiande mmoja au Zamalek walivyotolewa na Simba 2003 wakiwa mabingwa watetezi jadilini matatizo yenu chura fc mpira hamjui

      Delete
  3. huko ulaya pia kuna timu zinapigwa mpaka magoli nane,acha kukariri kiongozi mpira hauna mwenyewe fanya uchunguzi utagundua,lazima ukubali kuwekeza pesa na muda mrefu ndio timu itakaa kwenye fomu.na ukumbuke mchakato sio suala la siku moja yani hapo lazima ukubali kwamba simba ndio wapo kwenye mchakato wakuboresha timu,hivyo bado sana,chukua mfano tp mazembe tangu waingie kwenye mkataba na bosi wao ni zaidi ya miaka kibao,ndiomana timu imekaa sawa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic