KOCHA SIMBA: HASIRA ZA MWADUI TUNAZIPELEKA MBEYA
Kikosi cha Simba leo kinatarjia kushuka dimbani kuumana na Mbeya City ambapo Kocha Mkuu wa Timu Hiyo Patrick Aussems amesema kwamba hasira za kupoteza dhidi ya mwadui FC wikiendi iliyopita watahamishia kwa Mbeya City ili kupata alama tatu.
0 COMMENTS:
Post a Comment