November 3, 2019



FT: Simba 4-0 Mbeya City
Dakika 3 zinaongezwa kukamilisha mchezo wa leo
Dakika ya 90 Kahata anakosa bao
Dakika ya 89 mpira unasimama kwa muda
Dakika ya 86 Chama, Kada anapiga bao la nne, Goooool
Dakika ya 86 Mbeya City wanapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 85 Mussa Mwalim anachezewa rafu na Wawa 
Dakika ya 84 Fraga abachezewa rafu
Dakika ya 83 Kunambi anapimana msuli na Chama inakuwa kona inapigwa na Kapeta
83 Kanda ndani , Ajibu nje
Dakika ya 82 Mbeya City wanapata free kick
Dakika ya 80 Mbeya City wanafanya mashambulizi
Dakika ya 77 Kahata, Chama, Kagere,Ajibu anatoa pasi kwa Shiboub Gooool la 3
Dakika ya 76 Migomba anapiga kona nyingine inakamatwa na mlinda mlango,Mbeya City wanakosa bao linagonga mwamba
Dakika ya 75 Wawa ananzisha mashambulizi, Simba inapata kona inapigwa na Kahata, Lundega anatoa nje
Dakika ya 74 Mbeya City wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 73 Chama anapiga free kick, Kahata, Chama, Kapombe, Chama wanaokoa Mbeya City
Dakika ya 72 Kunambi anapiga shuti linaakwa na Manula anayepeleka mbele kwa Kagere
Dakika ya 71 Mohamed Mussa anaingia anatoka George Chotta
Dakika ya 70 Mapunda anaotea
Dakika ya 69 Richard Peter anaingia Samsoni kwa Mbeya City, faulo ya Ajibu inadakwa
Dakika ya 68 Mapunda, Chota, Ajibu anachezewa rafu
Dakika ya 67 Chama, Fraga, Shiboub
Dakika ya 66 Nyoni anarusha , Kahata, Migomba, Shiboub, cHAMA, mZAMIRU, kAPOMBE, cHAMA Anakosa goli
Dakika ya 65 Mbeya City wanafanya bonge ya shambulizi linagonga mwamba shuti la Peter Mapunda
Dakika ya 64 Wawa anacheza faulo kwa mchezaji wa Mbeya City
Dakika ya 63 Keneth Kunambi anapiga mpira wa adhabu kwenda kwa Manula unaokolewa na Manula mwenyewe mpaka kwa Mlinda mlango wa 
Dakika ya 62 Mpira unarushwa kuelekea Mbeya City
Dakika ya 61 Fraga, Shiboub, Wawa unarushwa kuelekea Mbeya City Kapombe, Kahata, Chama. Shiboub anapiga inadakwa
Dakika ya 60 Fraga abaingia ndani anatoka Tshabalala
Dakika ya 60 Tshabalala , Kahata, Ajibu anapiga shuti linakwenda njee
Dakika ya 59 Shiboub, Kahata, Shiboub
Dakika ya 58 Tshabalala anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 57 Mbeya City wanarusha kwenda kwa Manula
Dakika ya 55 Simba wanarusha mpira
Dakika ya 54 Mbeya City wanafanya mashambulizi
Dakika ya 53 Ajibu anapiga shuti linadakwa na mlinda mlango akimalizia pasi ya Kahata
Dakika ya 52 Simba wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 50 Mbeya City wanafanya mashambulizi
Dakika ya 49 Ajibu anapiga shuti linapaa mawinguni
Dakika ya 48 Mchezaji wa Mbeya City anaotea
Dakika ya 47 Tshabalala anapiga shuti likwenda nje jumla
Dakika ya 46 Kahata anaingia anatoka Miraj Athuman
Kipindi cha pili kimeanza sasa uwanja wa Uhuru
Dakiza zinaongezwa 2
Dakika ya 45 Mbeya City wanapiga free kikick inaokotwa na Manula
Dakika ya 44 Chama anakosa kufunga bao kipa anaokoa miguuni
Dakika ya 43 Mbeya City wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 42 Chama anafunga bao akiwa nje ya 18 Gooooool
Dakika ya 42 Mchezaji wa Mbeya City anadondoshwa chini 
Dakika ya 41 wachezai wanapata maji
Dakika ya 40 Shiboub anapiga shuti halizai matunda
Dakika ya 38 Ajibu anapiga shuti linadakwa na Richard
Dakika ya 37 Tshabalala anaondoa hatari kwa Manula
Dakika ya 36 Kagere anapiga shuti linaokolewa
Dakika ya 35 Chota anamjaribu Manula kwa mshuti mkali
Dakika ya 34 Chama anakosa goli
Dakika ya 33 Simba inapata Kona
Dakika ya 31 Mbeya City langoni kwa Manula
Dakika ya 30 Nyoni kwa Shiboub
Dakika ya 29 Mbeya City wanacheza free kick
Dakika ya 28 Wawa, Kapombe, Peter anachukua mpira Noni anaikamata, Chama apewa pasi nzuri anaotea
Dakika ya 27 Mbeya City wanaweka umilikiwa kwa Simba wanapoteza umiliki anachukua Nyoni, Shibo, Chama, Ajib, Kapombe, Shiboub,Chama anapiga pasi ndefu inakwenda nje
Dakika ya 26 Mangoma anatoka nje anampisha Majaliwa Shaban kwa Mbeya City
Dakika ya 26 Sheva anaotea
Dakika ya 25 Manula anaokoa hatari eneo lake anaanzisha kwa Wawa, Kagere anaomba kuingia kwa kuwa alitoka nje, Tshabalala anarusha mpira kwa Nyoni. Manula umiliki kwa Mangoma
Dakika ya 24 Peter Mapunda wa Mbeya City anaotea
Dakika ya 23 Tshabalala anaokoa hatari, Mbeya City wanapoteza unarudi kwa Manula
Dakika ya 22 Mwamuzi anaa,ua ipigwe  na Mapunda, Mangoma anainyaka anarusha upo ndani ya Simba
Dakika ya 21 Peter Mapunda anajiiandaa kupiga
Dakika ya 20 Mbeya City wanamjaribu Manula anaokoa, wanapata faulo Mbeya City nje ya 18 
Dakika ya 19 Tshabalala, Shiboub, Wawa kwa Migomba anakataliwa na Mussa Baraka
Dakika ya 18 Richard Peter anaanzisha mashambulizi kwa Simba, Manula analianzisha kwa Yassin
Dakika ya 17 Sheva anapiga kichwa akimalizia pasi ya Kapombe inatoka nje
Dakika ya 16 Migomba anapeleka hatari ndani ya ya 18 Mbeya City
Dakika ya 15 Mbeya wanaanza kulifuata lango la Manula
Dakika ya 14 Tshabalala analalamika amechezewa rafu
Dakika ya 13 Chama anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 12 Wawa anapeleka mashambulizi kwa Sheva, Migomba 
Dakika ya 11 Ajibu anapiga kona inatolewa tena anapiga kona nyingine inaokolewa na Richard
Dakika ya 10 Chama anafanya jaribio inakuwa kona Dakika ya 9 Mbeya City wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 8 Kagere anapewa penalti apige, anapiga kwa guu la kulia goooooool
Dakika ya 06 Sheva anachezewa rafu ndani ya 18 mwamuzi anaamua ipigwe penaltiDakika ya 6 Peter Mapunda anakosa kupiga akiwa ndani ya 18
Dakika ya 05 Sheva anachezewa rafu, Kapombe, Meddie anapiga ndani hatari inaokolewa
Dakika ya 04 mlinda mlango wa Mbeya City anaokoa mpira wa Kagere. Dakika ya3 Migomba anampa Sheva anapiga mpira unambabatiza beki inakuwa kona ya kwanza kwa Simba inapigw na Ajibu inaondoshwa eneo la hatari.

Dakika ya 02 Manula anaanzisha mpira kwenda mbele
KIPINDI cha kwanza uwanja wa Uhuru dakika ya 1 Simba 0-0

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic