November 17, 2019





FT : Yanga 3-1 Coastal Union
Uwanja wa Taifa
Dakika ya 90+4 JUma Balinya anafunga bao la tatu kwa mkwaju wa penalti
Dakika ya 90+2 Tshishimbi anafunga bao la pili akimalizia  pasi ya Mapinduzi
Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 90 Haji yupo karibu na eneo la Yanga
Dakika ya 89 Mlinda mlango wa Coastal anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 87 Jafary anachezewa rafu
Dakika ya 83 Sadney ndani ya 18 anapoteza mpira
Dakika ya 76 Molinga anatoka anaingia Adam
Dakika ya 73 Balinya anapiga shuti linaokolewa na mlinda mlango wa Coastal
Dakika ya 71 mlinda mlango wa Coastal anapewa huduma ya kwanza.
Dakika ya 70 Ngasa Gooool anafunga akiwa nje ya 18kwa guu lake la kulia
Dakika ya 68 Molinga anakosa penalti inapaguliwa na mlinda mlango wa Coastal
Dakika ya 67 Yanga inapata penalti
Dakika ya 66 Mlinda mlango wa Coastal anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 64 Balama anafanya jaribio mpira unatoka nje
Dakika ya 63 Shikalo anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 61 Haji Ugando anatoa pasi mpenyezo inapaishwa na mshambuliaji wa Coastal Union ndani ya 18
Dakika ya 60 Mapinduzi anatibua mipango ya Coastal
Dakika ya 58 Coastal Union inapiga kona 
Dakika ya 56 Yanga inapiga kona kupitia kwa Juma Abdul haizai matunda
Dakika ya 55 Shikalo anakoa hatari ndani ya 18 Dakika ya 53Yanga wanaotea
Dakika ya 51 mlinda mlango wa Coastal Union anaokoa hatari.
Dakika ya 50 Ngassa anachezewa rafu
Dakika ya 49 Raphael Daud anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 46 Ayoub anacheza rafu, mlinda mlango anaunasa
Dakika ya 45 Mussa wa Yanga anatoka anampisha Ngassa
HT Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Shikalo anaanzisha mapinduzi Dakika ya 44 Goooooool Mtoni anajifunga akimalizia pasi matata ya Mudathir
Dakika ya 43 Jaffary, Molinga anamrudisha Jaffary kisha Mtoni, Daud kwa Mapindui unaishia mikononi mwa mlinda mlango w Coastal
Dakika ya 41 mchezaji wa Coastal Union, Chingenge yupo chini baada ya kuchezewa rafu na Mussa
Dakika ya 40 Tshishimbi anachezewa rafu na Mohamed, Mudhatir Said anafanya jaribio akiwa nje ya 18

Dakika ya 37 Raphael Daud anapaisha shuti lake
Dakika ya 35 Mussa anafanya jaribio ambalo halizai matunda.

Dakika ya 34 Tshishimbi, Balama, Jaffary anapokwa mpira.

Dakika ya 33 mlinda mlango wa Coastal Union anaokoa hatari 
Dakika ya 31 Tshishimbi anamchezea rafu mchezaji wa Coastal Union
Dakika ya 30 Jaffary anapiga kona ya kwanza kwa Yanga inazuiliwa
Dakika ya 29 Mapinduzi anafanya jaribio linaokolewa 
Dakika ya 27 Mussa anafanya jaribio linazuiliwa
Dakika ya 26 Jaffary anacheza rafu
Dakika ya 25 Coastal Union inapiga kona ya nne huku Yanga ikiwa bado haijapata kona nayo haizai matunda
Dakika ya 24 Molinga anapaisha mpira akimalizia pasi ya Juma Abdul
Dakika ya 23 Coastal Union wanaotea, Tshishimbi anacheza rafu
Dakika ya 22 Mapinduzi anamchezea rafu nyota wa Coastal
Dakika ya 21 Mussa anamchezea rafu nyota wa Coastal
Dakika ya 20 Juma Abdul anatengeneza majalo saf
 yanazuiwa na beki wa Coastal
Dakika ya 19 Mtoni anazidiwa maarifa na mchezaji wa Coastal wanapata kona ya pili nayo haizai matunda.
Dakika ya 18 Molinga anapiga pasi ndefu nje ya 18 inatoka nje jumla
Dakika ya 17 Raphael Daud anamchezea rafu mlinda mlango wa Coastal Union
Dakika ya 16 Mustapha anacheza na Shikalo wakiwa langoni mwao
Dakika ya 15 Coastal Union wanapata faulo
Dakika ya 13 Ibrahm anampa Omary Salum, Kijiko mpira unatoka nje na mchezaji Sadney wa Yanga yupo chini akipewa huduma ya kwanza.

Dakika ya 10 Yanga wamefanya jaribio la kwanza ambalo lilipaa la pili likipigwa na Papy Tshimbi la pili akimalizia pasi ya Juma Abdul

Dakika ya 09 Coastal inafanya shambulizi linaishia kwa Shikalo.

Dakika ya 08 Shikalo anaanzisha mashambulizi kuelekea Coastal Union

Dakika ya 06 Farid Mussa wa Yanga anachezea rafu nje kidogo ya 18, freekick inapigwa na Molinga haileti matunda
Dakika ya 05 David Molinga anaotea ndani ya Coastal Union 

Dakika ya 03 Coastal Union inacheza kona ya kwanza haileti matunda ndani ya eneo la 18 ya Yanga

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic