MANARA: SIMBA NI BORA KULIKO ZOTE AFRIKA MASHARIKI Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amefunguka mambo kadhaa kuhusiana na kikosi cha timu hiyo kuelekea mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City leo.
YANGA WALIPOCHEZA NA PIRAMID MWANZA ULIKUWEPO HAJI NA LEO YANGA WANACHEZA CAIRO PIA UPO HUKO !! MBONA UNAWAFATILIA SANA HAWA YANGA KIASI UNATUPA KHOFU HAJI !!
ReplyDeleteUNAPATA HOFU YA NINI????KWANI MANARA AKIWEPO UWANJANI KUANGALIA MECHI YANGA WANASHINDWA KUCHEZA.
DeleteCairo ndiko iliko timu yako
ReplyDeleteUmaarufu wa Haji Manara upo Yanga,na anaipenda ndio maana anaifuatilia
ReplyDeletendo unavyojiongopea pole sana brother,record zote ulizotajiwa hizo afu ashabikie yanga unaumwa wewe
ReplyDelete