November 16, 2019


Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amemtaka msanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki kama ataendelea kuikosoa serikali.

Kauli ya Mwakyembe imekuja kutokana na Roma kuachia wimbo juzi unaojulikana kwa jina la Anaitwa Roma aliomshirikisha One Six.

"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa.

"Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.

"Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa."

10 COMMENTS:

  1. Hakuna mwana hip hop aliyeimba mapenzi hakafanikiwa. Kama vipi na yeye aimbe wimbo walau mmoja wa kulipa siyo kukataa tu nyimbo mara shahada nne

    ReplyDelete
  2. Hebu angalieni nafasi za ajira hapa https://fursakazi.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Anaitwa Roma akuna wa kumnyamazisha Roma

    ReplyDelete
  4. kuna mambo watz tuyaelewe, ni kweli tunao uhuru wa kuongea lkn si kila kitu unaweza kuongea mahali popote, pia kukosoa, ni vyema kukosoa lkn unakosoa nn na unamkosoa nani, katika kukosoa heshima na adabu ni mhimu sana ili kukosoa kwako kwe na maana.
    hajakosea mwakyembe kwa kauli yake naona wengi mmenukuu visivyo,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni miongoni wa wapuuzi,yeye ni nani usikosolewe,hivi hajui kukosolewa ni kambi bora pindi atakapochukulia umakini na kufanyika kazi kasoro zake, mungu japo katuumba anakosolewa,mitume na manabii walikosolewa usitetee ujinga ili twende sawa tukubali kukosoana hakuna mkamilifu duniani,digrii zake kama azisaidii taifa tu uangalie tu

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic