Taarifa zilizopo hivi sasa zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya KMC upo kwenye mazungumzo na Simba Sc kwa ajili ya kumsajili mchezaji kinda, Rashid Juma.
Inaelezwa kuwa Simba wanataka kumsajili Juma kwa huduma ya mkopo kipindi cha dirisha dogo la usajili wa ligi.
Dirisha hilo litafunguliwa siku mbili zijazo ambapo itakuwa ni Novemba 5 mwaka huu.
Juma amekuwa na bahati ya kucheza ndani ya kikosi cha wakubwa akitokea Simba B
Mbona sijaelewa sasa
ReplyDeleteDuh ... nadhani huu ndo uandishi wa mwendokasi!!!!!
ReplyDeleteMchezaji huyo huyo anasajiliwa kwa mkopo ndani ya timu yake? Daaaaaaaaaaahhhh!!!! sina la kuongeza kwa kweli. Au mwandishi alikuwa na haraka ya kuandika?
ReplyDeleteNovember 5 ???????????????
ReplyDeleteWaandishi hawa ni wa ajabu sana
ReplyDeletesimba wanataka kumsajili rashid juma kwa mkopo novemba 5 mhhhh kweli hii mpya ya funga mwaka
ReplyDelete