HT: Tanzania 0-1 Equatorial GuineaDakika zinaongezwa mbili kukamilisha dakika 45
Dakika ya 45 Farid Mussa anaotoea
Dakika ya 44 Farid Mussa anapiga faulo
Dakika ya 43 Samata anawekwa chini nje kidogo ya 18.
Dakika ya 41 Nyoni anazinguana na wachezaji wa E.Guinea, wanapiga faulo inayookolewa na Kelvin Yondani
Dakika ya 39 Kessy anapiga kona, Samatta anakosa nafasi ya waziDakika ya 37 Carols anaonyeshwa kadi ya njano ikiwa ni ya kwanza uwanja wa Taifa kwa kumchezea rafu Farid Mussa.
Dakika ya 36 Samatta anashindwa kumalizia majalo ya Kessy mpira ulipaa.
Dakika ya 34 Kessy anapiga kona fupi kwa Msuva haizai matunda
Dakika ya 33 Kaseja anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 32 Ruben anachezewa rafu na Kessy
Dakika ya 30 Samatta anabanwa na wachezaji wa E.Guinea
Dakika ya 28 Farid Mussa anacheza faulo
Dakika ya 27 Yondani anaingia ndani ya 18 na kuchezewa faulo inapigwa na Nyoni
Dakika ya 24 Stars wanapiga faulo ya tatu haizai matunda.
Dakika ya 23 Nahodha wa E.Guinea anaotoea lango la Stars.
Dakika ya 22 E.Guinea wanaanzisha mashambulizi kueleka Stars.
Dakika ya 19 Samatta anagongana na mlinda mlango wa E.Guinea.Dakika ya 18 Msuva anajaribu kufunga mlinda mlango wa E.Guinea anaokoa.
Dakika ya 17 Farid Hussein anapeleka mashambulizi E.Guinea wanaokoa
Dakika ya 14 E,Guinea inaandika bao la kwanza kwa mkwaju mrefu nje ya 18 na Pedro
Dakika ya 13 Samatta anachezewa rafu na E.Guinea inayopigwa na Nyoni
Dakika ya 12 Tshabalala anaotea mpira wa Nyoni
Dakika ya 11 Mzamiru Yassin anapenyeza pasi nzuri ndani ya 18 inashindwa kuleta matunda.
Dakika ya 10 Tshabalala anapiga faulo ya pili kwa Tanzania haizai matunda.
Dakika ya 07 Seleman Matola anatoa maelekezo kwa wachezaji wa Stars.
Dakika ya 06 Pablo anapiga faulo kwa E.Guinea unatoka nje.
Dakika ya 05 Msuva ndani ya 18 anampa pasi Hassan Kesy ambaye anaupaisha angani.
Dakika ya 02 E. Guinea wanapiga faulo ya kwanza haizia matunda
Dakika ya 01 Mbwana Samata anafanya jaribio la kwanza akiwa ndani ya 18 ya E.Guinea mlinda mlango anaokoa.







0 COMMENTS:
Post a Comment