November 16, 2019


Inaelezwa kuwa uongozi wa Yanga unaweza ukawabisha wachezaji Farouk Shikalo, Lamine Moro na Papy Tshishimbi ndani ya kikosi chao katika msimu huu wa dirisha dogo.

Orodha hiyo inatajwa kutokana na kumshawishi Kaimu Kocha, Boniface Mkwasa juu ya kiwango chao walichoonesha ndani ya timu.

Mbali na hao, wengine waliotajwa ni  Juma Balinya, Patrick Sibomana, Sadney Urikobh na David Molinga.

Molinga ambaye amekuwa akitupiwa lawama kadhaa juu ya kukosa umakini langoni, naye anatajwa kama sehemu ya wachezaji watakaobaki ndani ya kikosi cha Yanga.

7 COMMENTS:

  1. Lamire moro naye aende tuu sababu nafasi yake inashikwa na watazania hapa hapa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Molinga, juma balinya na bigremana hao watolewe kabisa wasibaki

      Delete
  2. Molinga nae aende zake aliko Zahera

    ReplyDelete
  3. haa haa ngojs tuone usajili wa dilisha dogo

    ReplyDelete
  4. Yaani we aende zake ni wale wanavuja damu nyekundu hauna lolote. wachezaji unafikiri ni mafungu ya nyaya hayo watu wana mikataba na ukifunja mkatabata unalipa fidia maana umekiuka mapatano. seems hata shule ujaenda wewe. Tuachee Daima mbele

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic