December 1, 2019


USIKU wa kuamkia leo Desemba 1, 2019 msanii wa Bongo Fleva, Alikiba amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha lake la Unforgettable Tour, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoa wa Tabora ambalo ni sehemu ya kuazimisha miaka yake 17 kwenye muziki.

Alikiba amesindikizwa na wasanii wa Kings Music waliopanda jukwaani na kuachia burudani kwa kuimba ngoma moja baada ya nyingine, ambapo Alikiba alipanda na Cinderella na kumaliza na ngoma yake mpya inayofanya vizuri kwa sasa ‘Mshumaa’.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic