December 7, 2019


Taarifa zilizoibuka kwa kasi leo zinaeleza kuwa wachezaji watatu wa Yanga ambao ni wa kimataifa wameamua kuandika barua ya kuachana na klabu hiyo.

Wachezaji hao ni Juma Balinya ambaye anatokea Uganda, Lamine Moro kutoka Ghana pamoja na David Molinga maarufu kama Falcao kutoka Congo.

Inaelezwa watatu hawa wameamua kuandika barua hizo kwa ajili ya kuomba kuondoka kutokana na kutolipwa stahiki zao.

Taarifa za ndani zinasema Moro hajalipwa mshahara wa miezi mitatu pamoja na Molinga, sawa na Balinya ambaye pia anadai stahiki zake.

Saleh Jembe imejitahidi kuutafuta uongozi wa Yanga lakini haijafanikisha kuupata ili kupata ufafanuzi zaidi wa suala hili, lakini tutazidi kulifuatilia kwa kina.

19 COMMENTS:

  1. That is yanga sister.weka mbali na watoto.

    ReplyDelete
  2. Hakuna mchuzi bila kitoweo,labda wa nyanya tupu.

    ReplyDelete
  3. We sema rumars tu tambua uimara wa nyumba msingi na sio paa hao yanga waimarishe msingi ndio wapambane juuu wajue mficha uchi hazai na mimba sio ugonjwa ukificha tumbo litachimoza tu

    ReplyDelete
  4. Habari hizi zimevuja kutoka TFF.Hili på kutolipa wachezaji mishahara litatufikisha pabaya .Viongozi wetu wamezoea longolongo ba kutolipa wachezaji mishahara. Pesa za udhamini zinakwenda wapi?Tusipoziba ufa tutajenga ukuta.

    ReplyDelete
  5. Timu ya wananchi hiyo? Baba wa Taifa alishawahi ukila nyama mtu huwezi kuacha utaendelea tu ni zambi inayozalisha zambi.Imeanza kwa kina Dante watu wakapigwa maneno na Dante akaonekana mkorofi wacha Mungu amlipie haki yake kwa kuidhibu Yanga. Wakati Yanga wanashindwa kulipa mishahara ya wachezaji Simba wanafungua viwanja vya kisasa vya mazoezi kwenye makazi yao mapya. Kuna wale mazezeta wanaotaka Simba iendeshwe kama Yanga wapo wapi?

    ReplyDelete
  6. Huwa napata amani ya moyo pale yu nisomapo taarifa ya yanga kushindwa kupiga hatua ktk maendeleo ya soka kwan washabiki wao km wao ndo kila kitu tz hii wmeilazimisha timu yao iwe ya taifa kwa kuita timu ya wananchi ilimradi kila mtu awemo ktk timu hiyo hawataki ten jina la dar young afrika hii jamani wapo level ya juu kiusemaji ila utekelezaji ziro kabisa huu uongozi wadipo uangalia utawaponza hakuna mtu mweusi mwaminifu au mpenda haki mwisho atadhulumu tu kwni wengi hawapendi hasara wanapangafaida tu ms ukiwa mkweli hudumu na ndio maana hsmujiulizi kwann mungu hakuwahi kumchagua mtume au mjumbe mweusi wanakasorooo

    ReplyDelete
  7. Inasikitisha sana kumuacha Mwinyi Zahera maana alikuwa anasitiri aibu ya Vyura kwa kutoa njuruku zake ili mambo yaende mbele sasa hayupo ipo kazi.Jitayarishe kwa kipigo cha mbwa mwitu kutoka kwa mnyamaaaaa

    ReplyDelete
  8. Watu weupe wabaguzi ndio maana Mungu kwa hekima zake alijua hata akimleta mjumbe au Mtume mweusi hawata mkubali.iblisi yaani sheitani chem chem ya maovu ghadhabu za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake milele aligoma kumtakia kheri Nabii Adam ambae inasemekana Adamu alikuwa mweusi na iblisi yaani sheitani alikuwa mweupe.Hizo za kusema sijui iblisi aligoma kumtakia kheri Nabii Adam kwakuwa aliumbwa kwa udongo ni siasa tu bali ukweli ni kwamba Adam alikuwa mweusi na iblisi alikuwa mweupe sasa iblisi aligoma kumsujudia mtu mweusi kwa amri ya Mwenyezi Mungu na kitendo hicho cha kibri cha iblisi kilichomchefua Mwenyezi Mungu na kupelekea iblisi kulaaniwa milele ila watu weusi ni miongoni mwa watu wapole na wasikivu na ndio maana M/Mungu hakutabika sana kuwapelekea wajumbe mara kwa mara kuwaelekeza na kuwaonya. Ila upole wao ndio uliowaponza na mara nyingi walikandamizwa na kufanywa watumwa na watu wa mataifa mengine au viongozi wanaowaongoza ila hakuna ukweli wowote kuwa watu weusi hawana radhi za Mungu na dhambi kubwa mtu kuwa na mawazo ya kijinga kama hayo. Labda ni mawazo ya watu wa weupe ya kujihisi kuwa wao ni bora zaidi kuliko watu weusi na kuzipandikiza kasumba hizo kwa mtu mweusi kwa vitendo kwa karne kadhaa mpaka kumfanya mtu mweusi kiasi cha kuamini kuwa yeye ni duni mbele ya mtu mweupe kitu ambacho wamefanikiwa na ni upumbavu kwa mtu mweusi kuamini hivyo kuwa ni duni mbele ya mtu mweupe yaani hovyo kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Achana na nadharia hiz ndugu, haya n maneno ya kujifarij tu, na ukitaka tuzungumze nadhari hizi bas Africa imelaaniwa kwa habari ya Nuhu na wanawe, maana kanaani alilaaniwa na ni baba wa Africa.

      Delete
  9. Tunawakaribisha kwetu ss tunalipa mshahara tarehe 20 kiwanja tunacho timu nzuri THIS is simba

    ReplyDelete
  10. MNALETA UFAHAMU WENU AU KTK VITABU VITAKATIFU?

    ReplyDelete
  11. Kumbe vishindo vyote hela hawana

    ReplyDelete
  12. Simba kati ya hao haraka muwachaguwe mnaowataka

    ReplyDelete
  13. Hii ni aibu kwakweli.Tatizo LA viongozi wa Yanga ni Sasa.Hawataki kukubali kuwa timu haiwezi kwenda kwa mia mbili mbili.Waambieni watu wenu ukweli.

    ReplyDelete
  14. Wanasimba tien UDI wakutosha bundi asiondoke JANGWANI ili tüwapige mkono

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic