George Moyo Ndilo ameibuka kidedea wiki hii baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot ya shilingi milioni 11,881,267 TZS mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 katu ya 13 kwenye Jackpot ya
SportPesa.
Ndilo(35) alianza kubashiri na SportPesa muda mrefu lakini kwa miezi miwili iliyopita amekuwa akibashiri mfululizo ili na yeye ajionee kama
ataweza kubahatika kushinda Jackpot.
“Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa ushindi huu maana sikutegemea kabisa kama nitashonda, nilianza kucheza kama mchezo mchezo lakini kwa miezi miwili iliyopita nilikuwa nikibeti na kuweka mkeka wa Jackpot mfululizo na hatimaye nimefanikiwa.”
“Niliweka ubashiri mara moja kwa kiasi cha shilingi elfu mbili na ikaniongezea na kushinda zaidi ya milioni 11 za Kitanzania. Bado siamini kwakweli maana nikama naota.”
“Mimi ni mkulima wa mazao ya biashara kama pamba na bidhaa nyingine na nauhakika kwa ushindi huu nitafaidika zaidi kwa kupanua
mashamba na kuanza kilimo cha umwagiliaji hata ukifika wakati wa kiangazi.”
“Ushauri wangu kwa vijana na watanzania wote kwa ujumla, kwenye hii michezo ya kubahatisha kuna makampuni mengi sana ila kupata
kampuni ambayo itakuwa waaminifu na kusaidia ili upate fedha zako kiusalama zaidi na kiuaminifu kwangu mimi SportPesa wanaongoza,
Tucheze na tuzidi kuwa mamilionea.”
Kwa upande wa SportPesa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bwana Tarimba Abbas alisema kama SPortPesa tunajivunia sana kuvumbua mamilionea kila wiki hii ni ishara ya kwamba tunafikia lengo letu la kuwafanya watanzania wengi kuwa mamilionea na kuinua kipato
chao kwa namna moja ama nyingine.”
“Kucheza Jackpot kuna faida yake maana mshindi akibashiri kwa usahihi mechi 10 hadi 12 anashinda bonasi kama zawadi ama gawio
baada ya matokeo kutangazwa, Jackpot ya wiki hii imefikia kiasi cha zaidi ya milioni 341 za Kitanzania hivyo basi hiii ni nafasi nzuri kwa watanzania kushiriki kwa wingi na kujishindia mamilioni kutoka SportPesa.








0 COMMENTS:
Post a Comment