December 21, 2019


Uongozi wa klabu ya Yanga umefikia makubalino na mabosi wa Polisi Tanzania kwa ajili ya kumsajili mchezaji wao Matheo Anthony.

Anthony ameondoka Yanga kunako msimu huu wa dirisha dogo ambalo inalitumia kwa ajili ya kuboresha kikosi chake.

Makubaliano ya Yanga na Polisi Tanzania yamefikiwa kutokana na pande zote mbili kukaa pamoja na kufikiana mwafaka.

Mchezaji ambaye alikuwa hapati namba siku za hivi karibuni, Yanga wameona wampeleke mahala ambapo wanaamini atalinda kiwango chake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic