SERIKALI YATOA TAMKO JUU YA UWEPO WA MFALME ALIKIBA MKOANI TABORA
Wakati Msanii wa Bongo Fleva Ali Saleh Kiba akiendelea na Ziara yake inayokwenda kwa Jina la Unforgetable Tour Mkoani Tabora Mkuu wa Mkoa Huo Aggrey Mwanri amemshukuru Kiba kwakuongoza zoezi la Upandaji miti mkoani humo kampeni amabyo imekuwa ikiendeshwa na Mkuu wa Mkoa huo kwa Muda mrefu.
0 COMMENTS:
Post a Comment