SIFA AMBAZO SIMBA WANATAKA MBADALA WA AUSSEMS AWE NAZO
Kufuatia Kocha wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems kufukuzwa kazi jana ikiwa mkataba wake wa mwaka mmoja haujamalizika, baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo wapendekeza mdabala wake ambaye anafaa kuchukua nafasi hiyo.
Licha ya kufutwa kazi, baadhi wamepingana na maamuzi hayo wakiamini Aussems alikuwa ni chaguo sahihi kuendelea na kazi hiyo kutokana na mafanikio aliyoipatia kwa muda ambao amefanya kazi.
Wengi wao wameleeza kuwa Simba kwa sasa inapaswa kuwa makini katika chaguo la mbadala wake sababu ipo kwenye harakati za kutetea ubingwa wa ligi kuu bara.
Aidha, wamependekeza awe mabala abaye atahakikisha anakuwa na uwezi juu ya Aussems ili aje aiwezeshe kufanya vema zaidi kunako mashindano ya kimataifa.
Ikumbukwe moja ya rekodi alizoziweka Aussems ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara mbili mfululizo sabamba na kufika kunako hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
MBADALA NI
ReplyDeleteFLORETH IBENGO
Ligi kachukua mara moja kuweni makini.....Ausems kaja July mwaka jana
ReplyDeleteWanaopingana na maamuzi ya kufutwa kazi kwa Aussems wanahaki ya kufanya hivyo ila kupanga ni kuchagua. Simba inatumia nguvu kubwa chini ya uongozi wa Mo na pengine chini ya grama za benchi la ufundi la Simba la sasa basi Simba wana uwezo wa kupata kocha mwenye uwezo mkubwa zaidi kuliko Aussems ila watanzania wengi bado akili zetu ni za kuridhika na mafanikio madogo na ni waoga wa mabadiliko.
ReplyDeleteSimba wamechemsha kumfukuza Huyu Kocha watajuta
ReplyDeleteHakuwa na jipya, aende zake tu.
ReplyDeleteHaja beba ligi Mara 2 acheni uongo nyie
ReplyDeleteMmmmmh kwa wachezaji tulonao huwezi sema unamtaka kocha mwenye uwezo Zaid wakat wachezaji uwezo upo chin
ReplyDelete