Watanazania ni wapumbavu hasa hawa wanaojifanya mastaa yaani kichefuchefu hata kuwasikiliza.Kuna shida gani kuongea kiswahili fasaha tu? Kwani hata hicho kiengereza basi ongea kiengereza fasaha tu. Kuhusu mwakinyo kushinda kwenye lile pambano ni vyema kwa mwakinyo na watanzania. Ni pambano ambalo hata mwakinyo kama angekuwa ndie mfilipino na pambano linachezwa ufilipino basi shinda tu.Ni pambano la kawaida ila mwakinyo kwa kushinda tu pambano lile japo kwa points basi linamueka mwakinyo kwenye uwezekano wa kupata pambano nyengine la ushindani zaidi na ndicho tunachotakiwa kufanya watanzania.kuwasadia mabondia wetu kujitangaza zaidi hata Mani pakiayo hivi sasa atakuwa anajiuliza huyo mwakinyo ndio nani na Ushindi ni ushindi hasa kwenye mchezo wa ngumi mara kadhaa tumeshashuhudia matokea ya ushindi yanayowapa maswali mashabiki kutoka kwa majaji na wala pambano la mwakinyo sio la kwanza kwa na maamuzi kama yale ila cha kushangaza kuna watanzania wangefurahi zaidi kama mwakinyo angepigwa kwenye lile pambano lakini unajiuliza kwanini watanzania wanakuwa wapumbavu kiasi hicho? Wawaulize mabondia kadhaa wa kitanzania waliowahi kucheza nje Tanzania na mazingira waliyokutana nayo huko? Utaona mtu anajifanya kulalamikia siasa kwenye lile pambano la mwakinyo kumbe yeye mwenyewe anaelalamika ndie mwanasiasa wa hovyo mwenye kuleta siasa baada ya utanzania kwenye michezo.
Kuna m'babe mmoja wa ngumi za mateke na kadhalika ama kick boxing anaitwa Habib Nurmedov kutoka Urusi ama Russia. Yeye akipigana kule kwao Urusi sio kutajwa kwa viongozi wa vyama au serikali yeye mwenyewe huingia na picha Ya kiongozi wao wa nchi ulingoni. Kutokujitambua kwetu watanzania katika sehemu amabayo tunatakiwa kuungana na kuwa kitu kimoja nakuacha tofauti zetu ndipo hapo kunapotufanya tukwame kupiga hatua.
Watanazania ni wapumbavu hasa hawa wanaojifanya mastaa yaani kichefuchefu hata kuwasikiliza.Kuna shida gani kuongea kiswahili fasaha tu? Kwani hata hicho kiengereza basi ongea kiengereza fasaha tu. Kuhusu mwakinyo kushinda kwenye lile pambano ni vyema kwa mwakinyo na watanzania. Ni pambano ambalo hata mwakinyo kama angekuwa ndie mfilipino na pambano linachezwa ufilipino basi shinda tu.Ni pambano la kawaida ila mwakinyo kwa kushinda tu pambano lile japo kwa points basi linamueka mwakinyo kwenye uwezekano wa kupata pambano nyengine la ushindani zaidi na ndicho tunachotakiwa kufanya watanzania.kuwasadia mabondia wetu kujitangaza zaidi hata Mani pakiayo hivi sasa atakuwa anajiuliza huyo mwakinyo ndio nani na Ushindi ni ushindi hasa kwenye mchezo wa ngumi mara kadhaa tumeshashuhudia matokea ya ushindi yanayowapa maswali mashabiki kutoka kwa majaji na wala pambano la mwakinyo sio la kwanza kwa na maamuzi kama yale ila cha kushangaza kuna watanzania wangefurahi zaidi kama mwakinyo angepigwa kwenye lile pambano lakini unajiuliza kwanini watanzania wanakuwa wapumbavu kiasi hicho? Wawaulize mabondia kadhaa wa kitanzania waliowahi kucheza nje Tanzania na mazingira waliyokutana nayo huko? Utaona mtu anajifanya kulalamikia siasa kwenye lile pambano la mwakinyo kumbe yeye mwenyewe anaelalamika ndie mwanasiasa wa hovyo mwenye kuleta siasa baada ya utanzania kwenye michezo.
ReplyDeleteWAKAZI KAISHI MAREKANI MIAKA MINGI KWAHIYO KAMA HUJAMZOEA AU UNAMSIKIA LEO LAZIMA USHANGAE ILA MWANA AMEISHI MUDA MREFU MAREKANI.
DeleteKuna m'babe mmoja wa ngumi za mateke na kadhalika ama kick boxing anaitwa Habib Nurmedov kutoka Urusi ama Russia. Yeye akipigana kule kwao Urusi sio kutajwa kwa viongozi wa vyama au serikali yeye mwenyewe huingia na picha Ya kiongozi wao wa nchi ulingoni. Kutokujitambua kwetu watanzania katika sehemu amabayo tunatakiwa kuungana na kuwa kitu kimoja nakuacha tofauti zetu ndipo hapo kunapotufanya tukwame kupiga hatua.
ReplyDelete