February 27, 2020


PAPY Tshishimbi, nahodha wa timu ya Yanga amekutana na rungu la Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Tshishimbi, ametozwa faini ya Tsh. 200,000 (laki mbili) kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano (interview) na mdhamini wa Ligi Kuu Azam Media katika mechi iliyofanyika Februari 23, 2020 uwanja wa mkwakwani mkoani Tanga.

Adhabu imetolewa kwa uzingativu wa kanuni 38(18) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Wachezaji.


Mchezo huo ulikamilika kwa yanga kutshana nguvu na Coastal Union na kugawana pointi mojamoja. 

1 COMMENTS:

  1. Tff ligi inapokwisha njaa inakuwa kali sana lakin ligi ikianza tu kila siku faini na faini tu lakini cha kushangaza baada ya kukusana faini zote hizo bado mnadaiwa na waamuzi aibu gani hiyo au mko hapo kwa ajili ya kujaza matumbo yenu tu?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic