JONAS Mkude kiungo mkabaji wa Simba amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United FC katika mchezo uliofanyika Februari 22, 2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Bara timu ya Simba ilishinda mabao 3-1.
Kabla ya kuhukumiwa Mkude tunataka hukumumiwe Morrison wa Yanga.
ReplyDelete