February 26, 2020



Waamuzi waliosimamia mchezo namba 223 Polisi Tanzania vs Yanga Abel Willium na Martin Mwalyaje wamefungiwa miezi mitatu (3).


Adabu hiyo imetokana na kosa la waamuzi hao kushindwa kutafsiri sheria za mchezo huo  namba 223 uliofanyika Februari 18, 2020 uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.


Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa Kanuni ya 39(1A) ya Udhibiti wa Waamuzi. 

Mchezo huo ulikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

2 COMMENTS:

  1. Hivi kwenye mechi hii wamefungiwa kwa kuwabeba nani?Mbona mnaficha ficha.Semeni kweli walishindwa kutafsiri sheria au walizidiwa na unazi uliopitiliza.

    ReplyDelete
  2. adhabu ikitoka ikihisushwa
    timu kubwa jina halitajwi ni sawa na maskini akifa huwekwa wazi kafa na ukimwi ila tajiri ni mshituko wa damu au mapigo ya moyo yaani Pressure
    Full Stop.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic