MBWANA Samatta, mshambuliaji wa Aston Villa ambaye alisajiliwa kwenye dirisha dogo la mwezi Januari akitokea Genk ya Ubelgiji ameweka rekodi kibao kwa muda mfupi aliotua England.
Hizi hapa rekodi zake ambazo ameanza kuziweka ndani ya Aston Villa iliyo chini ya Kocha Mkuu, Dean Smith:-
1. Kupangwa kikosi cha kwanza timu ya Premier League wakati timu yake ikimenyana na Bournemouth.
2. Kufunga bao katika Premier League dakika ya 70 kwa kichwa na timu yake ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1.
3. Kufunga bao siku ya kwanza Premier League ikiwa ni mechi yake ya kwanza.
4. Kucheza dakika 90 katika Premier League kwa mara ya kwanza.
5. Kutangazwa na watangazaji wa Premier League.
6. Kushuhudiwa na Watanzania akicheza katika Premier League.

Huna cha kuandika,au unataka kupiga mzinga nini
ReplyDeleteUngetuekea facts kama ifuatayo
ReplyDeleteGoli la Samaata ndio goli la kwanza la A.villa kufungwa kwa kichwa msimu hau 2019/2020.na sio kutangazwa na watangazaji wa EPL.