FEBRUARI, Mosi,2020 ni siku ambayo Mungu alimpa zawadi ya maisha mapya ndani ya Dunia na ardhi ya Tanzania ndipo alipoanzia kuhesabu Baraka zake.
Leo ni siku nyingine nzuri yenye baraka kwa Saleh jembe ambaye anafurahia Ukuu wa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kumpa afya njema na kumuepusha na mabalaa.
Kwa msomaji hakuna cha kukukwambia zaidi ya shukrani kwa kuwa tumekuwa pamoja tukishirikiana mengi ya maisha na hasa michezo, nafurahi kuwa nawe kama rafiki na ninafurahi KUZALIWA leo kwa Mungu ndiye ALIYEPANGA.
HERI YA KUZALIWA Saleh Ally JEMBE
Wakati unawapongeza wasomaji fanyia Nazi editing ya habari zako na vichwa vya habari viendane na content.
ReplyDeleteHana huo muda yuko bize na happy born day.
ReplyDeleteWakati unasherehekea siku yako ya kuzaliwa fanyia kazi mapungufu mengi ya aina ya uandishi wa habari katika hii blog yako uijengee heshima vinginevyo wasomaji hawataacha kuku blast kwa habari zisizo na mashiko wala weledi
ReplyDelete