February 2, 2020


KIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake mzazi presha kushuka kabla ya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kipa huyo aitwe na maofisa wa Takukuru kwaajili ya kuhojiwa baada ya kudaiwa kutoa taarifa za kuahidiwa kupewa gari aina ya IST na mmoja wa viongozi wa Simba endapo angekubali kupewa kadi ya njano ili akose mchezo unaofuata waliotarajiwa kukutana na watani wao Simba.

2 COMMENTS:

  1. Huyu kijana anaweza kumfikisha mzazi wake kusikojulikana kutokana navitimbwi vyake

    ReplyDelete
  2. Tatizo kubwa kama walivyo vijana wengi wa kitanzania kukosa wasimamizi wenye taaluma ya usimamizi kwa vijana wetu katika kazi zao za sanaa au michezo. La kushangaza zaidi huyu kijana hakutokea mitaani ni zao la timu ya Taifa ya vijana sasa unajiuliza hao wanaowaelea vijana watu kwenye soka bado wanaendelea kutuzalishia wachezaji wasiojitambua hadi muda huu?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic